Mimi ni mfanyabiashara kwahiyo tukutane katika kujadiliana kwa kina katika kupanua biashara zetu. Mungu awabariki sana.
Brice Juliusjoram
Jumamosi, 31 Desemba 2016
Ijumaa, 30 Desemba 2016
Naumiliki mwaka 2017
Bwana Yesu kristo asifiwe Sana wapendwa katika Bwana.
Ninafuraha kubwa kumshukuru Mungu kwa yote natumaini Mungu mwema ametufikisha leo Trh. 31 tukiwa na pumzi. Wapo wengi tulianza nao lakini wameishia Katikati hawakuweza kumaliza mwaka.
Tukumbuke haikuwa rahisi ila ni rehema na Neema za Mungu kwetu ametushindia kwa ushindi wa ajabu hatuna cha kumlipa zaidi ya kumshukuru Mungu kwa yote.
Haijalishi mwaka 2016 umepitia mangapi magumu na mazito lakini umevuka Salama jua tambua kuwa si nguvu zako ila ni rehema zake Mungu.
Hivyo basi tuungane kwa pamoja siku ya leo kutafakari matendo makuu ya Mungu aliyo tenda mwaka 2016 na pia kumkabidhi mwaka 2017 anze pamoja nasi.
Immanuel Mungu pamoja nasi awa nawe Kwanzia sasa na Hata milele Amen.
Mungu awabariki sana na awape umaliziaji mwema wa masaa Haya machache yaliyo baki na tupokee mwaka Salama.
Katika jina la Yesu kristo Amen.
HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA.
......... By. .........
Brice J.Joram
Jumapili, 25 Desemba 2016
Yesu Kanikombia
Nawatakia kheri ya mwaka mpya Na Mungu awabariki sana pamoja na kuwawezesha katika kufanikinisha malengo yenu 2017 na uwe mwaka Wa mafanikio tele. Pia Mungu azidi kutufundisha kwa kina zaidi.
................by...........
**BRICE J.JORAM**
Ijumaa, 23 Desemba 2016
Kheri ya Christmas & Happy New Year
Makao makuu ya kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Dar mwinekano Wa maandalizi Christmas na Happy New Year
...............by...........
****BRICE J.JORAM****
Alhamisi, 22 Desemba 2016
Kheri ya Christmas na Happy New Year.
Mungu awape mwongozo mwema Wa maisha yenu katika mwaka 2017 na awafanikishe katika kazi zenu.
Pia Mungu awafungulie milango ya fedha kwa wingi katika mwaka ujao 2017 ,awape kila muliombalo kwake .
..................by..................
BRICE J.JORAM
Jumanne, 20 Desemba 2016
CHRIST MASS
Napenda kuwakaribisha katika siku ya Christ mass .Ni Sikh ambayo mkombozi wetu Bwana Yesu Kristo kazaliwa kwahiyo wakiristo wote Duniani twapaswa kuungana kwa pamoja ili kusherehekea sikukuu hiyo ya tarehe 25™. Mungu atuwezeshe wote ili tuweze kuhudhuria ibaada na kujua mengi kutoka kwa watumishi Wa Mungu.Mungu atubariki sana .
................By................
>>>>BRICE J.JORAM<<<<
Jumatano, 14 Desemba 2016
Ijumaa, 9 Desemba 2016
Alhamisi, 8 Desemba 2016
KITABU HIKI KISIONDOKE KINYWANI MWAKO.
Hebu jiulize kuwa unasoma neno la Mungu(bible) mara ngapi kwa siku?
Wengi wetu hawasomi kabisa neno la Mungu ni wachache sana ambao wanaijua siri hii.Kumbuka kuwa unapochukua muda wako mwingi katika kujisomea Bible unapata nguvu fulani ya kiimani,jaribu kuwa kitabu hiki kisitoke kinywani mwako,watu wa Mungu nakushari kuwa usiache kusoma kitabu hiki kitakatifu ili uongeze maarifa mbalimbali ya Kimungu,na hapo hakuna kitu chochote kitakacko kusumbua maishani mwako .JINA LA BWANA YESU LIBARIKIWE SANA,NA MUUNGU ATUTIE NGUVU KATIKA KULISOMA NENO LAKE MAANA KIATABU HIKI KINA UZIMA NDANI YAKE,kuwa makini sana usije ukakosa uzima wa milele.
....MBARIKIWE SANA NA YESU....
..BY BRICE J.JORAM..
Jumatano, 7 Desemba 2016
THE VICTORY OF GOD
Ni pale unapohisi kuwa umeshinda kwa kila dhambi inayo kuandama ama majaribu ya kutisha,lakini usiogope maana aliyekuumba ni mkuu sana kuliko vyote, kama unabisha basi OKOKA Uone ukuu wake Bwana wa Majeshi,Napenda kukushauri kuwa lolote ulifanyalo liwe jaribu kumshirikisha Muumba wako, wala si mwanadamu,naamini utapiga hatua kubwa katika maisha yako,
Kwa maana Mungu anakuwazia mema kwa kila wakati, mjue sana Mungu wako upate amani ndani ya maisha yako.
Aa
MUNGU AKUBARIKI SANA.
Jumanne, 6 Desemba 2016
PENDO LA YESU
Yesu anipenda mno mpaka kaniokoa kwa kunitoa katika maangamizo ya adui,kanipandisha juu kanitoa chini,hivyo sifa na utukufu umrudie yeye mwana wa ADAM.Nina kushukuru MUNGU kwa UPENDO WAKO WA AGAPE hakuna mwingine awezaye kama .
THANKS MY LORD.
Ijumaa, 25 Novemba 2016
Shats
Kutana nasi katika Shirts Fashion ,mashati ya maitumba yenye ubora wa hali ya juu,Tunapatiaka Katika Soko kuu la Mtumba, vist this link to see modern shirts(sample)>>https://bricejuliusjorambusiness.blogspot.com>>https://bricejuliusjoram.wordpress.com>>MAELEZO YOTE UTAYAPATA KUPITIA LINKS HIZO.
KARIBUNI SANA .
Jumatano, 23 Novemba 2016
Kutana na wauza mitumba maarufu.
Jipatie Mashati mazuri ya garade A kutoka kwetu, tupo katika soko kuu la mitumba MITUMBA MEMORIAL MOSHI KILIMANJARO. Ukifika moshi mjini panda hiace za kuelekea soko Memorial ukifika contacts;
+225717523227
+225746373535
+225768205751
+225713746732
Hapo utakuwa umetupata.
KARIBUNI SANA WOTE.
Jumanne, 22 Novemba 2016
MASHATI YA KIUME(fashion)
Jipatie mashati ya kiume Grade A, katika soko kuu la MITUMBA MEMORIAL lililopo MOSHI KILIMANJARO. FIKA na ujipatie kwa bei nafuu sana,wateja wetu tuna wajali sana, wasiliana nasi kwa simu namba:+225746373535 ,+225717523227 , ukifika stand kuu ya mabasi Moshi mjini panda hiace za kwenda SOWETO mwambie konda wa hiace uliopanda akushushie MEMORIAL sokoni, hapo nduo umefika nipigie simu nitakupokea.
KARIBUNI SANA.
WOTE.
BY
MR.Brice J.Joram.
Ijumaa, 28 Oktoba 2016
Modern of shirts
Jipatie vibodishati kwa bei poa kabisa wahi sasa wakati ni wako
Pia pata elimu ya kufanya biashara kwa kina zaid
Jumapili, 23 Oktoba 2016
Jumamosi, 22 Oktoba 2016
Alhamisi, 20 Oktoba 2016
Mens Shirt
Fika katika ofisi zetu zilizopo soko kuu la Memorial mjini Moshi Kilimanjaro wasiliana nami kwa 0746373535
Mashati Grade One
Jipatie mashati ya grade One katika soko kuu la Memorial Mjini Moshi Kilimanjaro, waweza ukawasiliana nami kwa kutembelea blog yangu yaani https://bricejuliusjorambusiness.blogspot.com hapa ndipo utapa update zangu zote