Brice Juliusjoram

Jumanne, 22 Novemba 2016

MASHATI YA KIUME(fashion)

Jipatie mashati ya kiume Grade  A, katika soko kuu la MITUMBA MEMORIAL lililopo MOSHI KILIMANJARO. FIKA na ujipatie kwa bei nafuu sana,wateja wetu tuna wajali sana, wasiliana nasi kwa simu namba:+225746373535 ,+225717523227 , ukifika stand kuu ya mabasi Moshi mjini panda hiace za kwenda SOWETO mwambie konda wa hiace uliopanda akushushie MEMORIAL sokoni, hapo nduo umefika nipigie simu nitakupokea.
       
      KARIBUNI SANA.

                     WOTE.
                           BY
                                MR.Brice J.Joram.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni