Brice Juliusjoram

Alhamisi, 8 Desemba 2016

KITABU HIKI KISIONDOKE KINYWANI MWAKO.

Hebu jiulize kuwa unasoma  neno la Mungu(bible) mara ngapi kwa siku?
Wengi wetu hawasomi kabisa neno la Mungu ni wachache sana ambao wanaijua siri hii.Kumbuka kuwa unapochukua muda wako mwingi katika kujisomea Bible unapata nguvu fulani ya kiimani,jaribu kuwa kitabu hiki kisitoke kinywani mwako,watu wa Mungu nakushari kuwa usiache kusoma kitabu hiki kitakatifu ili uongeze maarifa mbalimbali ya Kimungu,na hapo hakuna kitu chochote kitakacko kusumbua maishani mwako .JINA LA BWANA YESU LIBARIKIWE SANA,NA MUUNGU ATUTIE NGUVU KATIKA KULISOMA NENO LAKE MAANA KIATABU HIKI KINA UZIMA NDANI YAKE,kuwa makini sana usije ukakosa uzima wa milele.

     ....MBARIKIWE SANA NA YESU....

            ..BY  BRICE J.JORAM..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni