Brice Juliusjoram

Ijumaa, 30 Desemba 2016

Naumiliki mwaka 2017

Bwana Yesu kristo asifiwe Sana wapendwa katika Bwana.
   Ninafuraha kubwa kumshukuru Mungu kwa yote natumaini Mungu mwema ametufikisha leo Trh. 31 tukiwa na pumzi. Wapo wengi tulianza nao lakini wameishia Katikati hawakuweza kumaliza mwaka.
  Tukumbuke  haikuwa rahisi ila ni rehema na Neema za Mungu kwetu ametushindia kwa ushindi wa ajabu hatuna cha kumlipa zaidi ya kumshukuru Mungu kwa yote.

    Haijalishi mwaka 2016 umepitia mangapi magumu na mazito lakini umevuka Salama jua tambua kuwa si nguvu zako ila ni rehema zake Mungu.

   Hivyo basi tuungane kwa pamoja siku ya leo kutafakari matendo makuu ya Mungu aliyo tenda mwaka 2016 na pia kumkabidhi mwaka 2017 anze pamoja nasi.
    Immanuel Mungu pamoja nasi awa nawe Kwanzia sasa na Hata milele Amen.
    Mungu awabariki sana na awape umaliziaji mwema wa masaa Haya machache yaliyo baki na tupokee mwaka Salama.
     Katika jina la Yesu kristo Amen.
     HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA.

.........     By.     .........

          Brice J.Joram

Jumapili, 25 Desemba 2016

Yesu Kanikombia

Nawatakia kheri ya mwaka mpya Na Mungu awabariki sana pamoja na kuwawezesha katika kufanikinisha malengo yenu 2017 na uwe  mwaka Wa mafanikio tele. Pia Mungu azidi kutufundisha kwa kina zaidi.

................by...........

         **BRICE J.JORAM**

Ijumaa, 23 Desemba 2016

Kheri ya Christmas & Happy New Year

Makao makuu ya kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Dar mwinekano Wa maandalizi Christmas na Happy New Year

...............by...........

         ****BRICE J.JORAM****

Alhamisi, 22 Desemba 2016

Kheri ya Christmas na Happy New Year.

Mungu awape mwongozo mwema Wa maisha yenu katika mwaka 2017 na awafanikishe katika kazi zenu.
Pia Mungu awafungulie milango ya fedha kwa wingi katika mwaka ujao 2017 ,awape kila muliombalo kwake .

..................by..................

               BRICE J.JORAM

Jumanne, 20 Desemba 2016

CHRIST MASS

Napenda kuwakaribisha katika siku ya Christ mass .Ni Sikh ambayo mkombozi wetu Bwana Yesu Kristo kazaliwa kwahiyo wakiristo wote Duniani twapaswa kuungana kwa pamoja ili  kusherehekea sikukuu hiyo ya tarehe 25™. Mungu atuwezeshe wote ili  tuweze kuhudhuria ibaada na kujua mengi kutoka kwa watumishi Wa Mungu.Mungu atubariki sana .
  
       ................By................

         >>>>BRICE J.JORAM<<<<

Jumatano, 14 Desemba 2016

Alhamisi, 8 Desemba 2016

KITABU HIKI KISIONDOKE KINYWANI MWAKO.

Hebu jiulize kuwa unasoma  neno la Mungu(bible) mara ngapi kwa siku?
Wengi wetu hawasomi kabisa neno la Mungu ni wachache sana ambao wanaijua siri hii.Kumbuka kuwa unapochukua muda wako mwingi katika kujisomea Bible unapata nguvu fulani ya kiimani,jaribu kuwa kitabu hiki kisitoke kinywani mwako,watu wa Mungu nakushari kuwa usiache kusoma kitabu hiki kitakatifu ili uongeze maarifa mbalimbali ya Kimungu,na hapo hakuna kitu chochote kitakacko kusumbua maishani mwako .JINA LA BWANA YESU LIBARIKIWE SANA,NA MUUNGU ATUTIE NGUVU KATIKA KULISOMA NENO LAKE MAANA KIATABU HIKI KINA UZIMA NDANI YAKE,kuwa makini sana usije ukakosa uzima wa milele.

     ....MBARIKIWE SANA NA YESU....

            ..BY  BRICE J.JORAM..

Jumatano, 7 Desemba 2016

THE VICTORY OF GOD

Ni pale unapohisi kuwa umeshinda kwa kila dhambi inayo kuandama ama majaribu ya kutisha,lakini usiogope maana aliyekuumba ni mkuu sana kuliko vyote, kama unabisha  basi OKOKA Uone ukuu wake Bwana wa Majeshi,Napenda kukushauri kuwa lolote ulifanyalo liwe jaribu kumshirikisha Muumba wako, wala si mwanadamu,naamini utapiga hatua kubwa katika maisha yako,
Kwa maana Mungu anakuwazia mema kwa kila wakati, mjue sana Mungu wako upate amani ndani ya maisha yako.
  Aa
           MUNGU AKUBARIKI SANA.

Jumanne, 6 Desemba 2016

PENDO LA YESU

Yesu anipenda mno mpaka kaniokoa kwa kunitoa katika maangamizo ya adui,kanipandisha juu kanitoa chini,hivyo sifa na utukufu umrudie yeye mwana wa ADAM.Nina kushukuru MUNGU kwa UPENDO WAKO WA AGAPE hakuna mwingine awezaye kama .

          THANKS MY LORD.