Brice Juliusjoram

Jumatano, 7 Desemba 2016

THE VICTORY OF GOD

Ni pale unapohisi kuwa umeshinda kwa kila dhambi inayo kuandama ama majaribu ya kutisha,lakini usiogope maana aliyekuumba ni mkuu sana kuliko vyote, kama unabisha  basi OKOKA Uone ukuu wake Bwana wa Majeshi,Napenda kukushauri kuwa lolote ulifanyalo liwe jaribu kumshirikisha Muumba wako, wala si mwanadamu,naamini utapiga hatua kubwa katika maisha yako,
Kwa maana Mungu anakuwazia mema kwa kila wakati, mjue sana Mungu wako upate amani ndani ya maisha yako.
  Aa
           MUNGU AKUBARIKI SANA.

Jumanne, 6 Desemba 2016

PENDO LA YESU

Yesu anipenda mno mpaka kaniokoa kwa kunitoa katika maangamizo ya adui,kanipandisha juu kanitoa chini,hivyo sifa na utukufu umrudie yeye mwana wa ADAM.Nina kushukuru MUNGU kwa UPENDO WAKO WA AGAPE hakuna mwingine awezaye kama .

          THANKS MY LORD.

Ijumaa, 25 Novemba 2016

Sample of shirts

Shatis

Me

Shats

Kutana nasi katika Shirts Fashion ,mashati ya maitumba yenye ubora wa hali ya juu,Tunapatiaka Katika Soko kuu la Mtumba, vist this link to see modern shirts(sample)>>https://bricejuliusjorambusiness.blogspot.com>>https://bricejuliusjoram.wordpress.com>>MAELEZO YOTE UTAYAPATA KUPITIA  LINKS HIZO.

   KARIBUNI SANA .