Nawatakia kheri ya mwaka mpya Na Mungu awabariki sana pamoja na kuwawezesha katika kufanikinisha malengo yenu 2017 na uwe mwaka Wa mafanikio tele. Pia Mungu azidi kutufundisha kwa kina zaidi.
................by...........
**BRICE J.JORAM**
Mimi ni mfanyabiashara kwahiyo tukutane katika kujadiliana kwa kina katika kupanua biashara zetu. Mungu awabariki sana.
Nawatakia kheri ya mwaka mpya Na Mungu awabariki sana pamoja na kuwawezesha katika kufanikinisha malengo yenu 2017 na uwe mwaka Wa mafanikio tele. Pia Mungu azidi kutufundisha kwa kina zaidi.
................by...........
**BRICE J.JORAM**
Makao makuu ya kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Dar mwinekano Wa maandalizi Christmas na Happy New Year
...............by...........
****BRICE J.JORAM****
Mungu awape mwongozo mwema Wa maisha yenu katika mwaka 2017 na awafanikishe katika kazi zenu.
Pia Mungu awafungulie milango ya fedha kwa wingi katika mwaka ujao 2017 ,awape kila muliombalo kwake .
..................by..................
BRICE J.JORAM
Napenda kuwakaribisha katika siku ya Christ mass .Ni Sikh ambayo mkombozi wetu Bwana Yesu Kristo kazaliwa kwahiyo wakiristo wote Duniani twapaswa kuungana kwa pamoja ili kusherehekea sikukuu hiyo ya tarehe 25™. Mungu atuwezeshe wote ili tuweze kuhudhuria ibaada na kujua mengi kutoka kwa watumishi Wa Mungu.Mungu atubariki sana .
................By................
>>>>BRICE J.JORAM<<<<
Hebu jiulize kuwa unasoma neno la Mungu(bible) mara ngapi kwa siku?
Wengi wetu hawasomi kabisa neno la Mungu ni wachache sana ambao wanaijua siri hii.Kumbuka kuwa unapochukua muda wako mwingi katika kujisomea Bible unapata nguvu fulani ya kiimani,jaribu kuwa kitabu hiki kisitoke kinywani mwako,watu wa Mungu nakushari kuwa usiache kusoma kitabu hiki kitakatifu ili uongeze maarifa mbalimbali ya Kimungu,na hapo hakuna kitu chochote kitakacko kusumbua maishani mwako .JINA LA BWANA YESU LIBARIKIWE SANA,NA MUUNGU ATUTIE NGUVU KATIKA KULISOMA NENO LAKE MAANA KIATABU HIKI KINA UZIMA NDANI YAKE,kuwa makini sana usije ukakosa uzima wa milele.
....MBARIKIWE SANA NA YESU....
..BY BRICE J.JORAM..